Siku ya Jumatano May 31 Travis Scott alionekana na Kylie Jenner wakiagana mbele ya magari yao huku Travis akimshika Kylie makalio.
Kylie alikuwa mpenzi wa Tyga kipindi cha nyuma bt mpaka now hakuna maelewano mazuri kati yao.
Kuhusiana na Wawili hao mpaka now hakuna hata mmoja kati yao aliye confirm kwamba wanatoka kimapenzi.
EmoticonEmoticon