Kama Ulikosa ngoma kali na unakuwaga Busy na kazi.Nimekuandalia video zote zilizofanya vizuri week hii. Presented by Vevo
Leo ametuandalia Luis Fonsi ambaye anashka nafasi ya kwanza Billboard kwa remix yake ya Despacito akiwa na Justin Bieber na video yake ni moja kati ya Hot Video kwa week hii iliyoandaliwa na Vevo.Tazama hapo chini video
EmoticonEmoticon