Nicki Minaj pamoja na Quavo wameonekana pamoja na Nicki pia ameshare picha katika mtandao wake wa Instagram na Caption ya "π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯ @quavohuncho πΆπ΅πΆπ΅πΆπ΅π₯π₯π₯
Picha hiyo ya pamoja imeonekana Nicki pamoja na Quavo wanaandaa Colabo ya ngoma pamoja.
But hapo hapo kuthibitisha hilo katika kochi moja na mavazi yale yale,Nicki alipiga tena picha na Producer London Track na ku share picha na caption,"π₯π₯π₯π₯π₯π΅πΆπ΅πΆ @londonondatrack π₯π₯π₯" kuonyesha kwamba kuna collabo yake pamoja na Quavo wanaifanya na producer huyo ndyo aliyeandaa
EmoticonEmoticon