Baada ya List kamili ya BET Awards Nominees 2017 kutoka May 14,Hatimaye List pia ya Wasanii watakao perfome katika jukwaa la BET imetoka pia.
Baadhi ya wasanii Watakao Perfom ni Bruno Mars, Future, Migos, Trey Songz, na Tamar Braxton ambapo itafanyikia katika ukumbi wa Microsoft ndani ya Los Angeles June 25.
EmoticonEmoticon