TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Sean Paul Asema Haya Kwa Rapper Drake

Sean Paul analalamika kuwa Drake haupi heshima muziki wa dancehall na tamaduni za Jamaican
Kauli ya Sean Paul imekuja baada ya Drake kurekodi album ya Views yenye muziki wenye vionjo vya Dancehall na album hii kufanya vizuri kiasi cha kuwa na rekodi ya miongoni mwa album kubwa za rap toka mwaka 2008.
Sean Paul Akiwa katika mahojiano na METRO alisema “Drake bado hajaipa Dance Hall heshima inayotakiwa ata baada ya kutumia muziki huo kwenye album yake, Drake katumia Dance hall kwenye album nzima ila bado haongelei muziki huu na kuupa heshima yake, tofauti na Ed Sheeran, yeye kafanya wimbo mmoja wa Dancehall ila Drake kafanya album nzima“.


EmoticonEmoticon