PICHA 20 | The Weeknd Anunua Mjengo Wa Bei Ghali 02:28 Entertainment The Weeknd baada ya kufanya powa last Week katika ngoma yake ya Starboy kufikisha Views Billion 1 Vevo,Now ameamua kununua mjengo wa bei ghali ambachi linafikia kiasi cha Dola $ 18 Million.Mjengo huo upo LA.TAZAMA PICHA Share this Share on FacebookTweet on TwitterPlus on Google+
EmoticonEmoticon