TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

The Weeknd Naye Amechangia Kiasi Hiki Hapa Uganda Baada Ya French Montana

Baada ya French Montana kwende Uganda kwaajili ya ku shoot Video ya Unforgettable na kuchangia huduma mbali mbali kama vile Mama Hope na Huduma za Hospitali na nyinginezo kwa kutoa mkwanja kiasi cha Dola $ 100,000 ambazo kwa fedha za Uganda ni kiasi kama cha Million 300,Hatimaye The Weeknd naye swala hili limemgusa na ameamua kuchangia kupitia Unforgettable Dance Challenge

Kupitia E!NEWS wameripoti kuwa The Weeknd amechangia kiasi cha Dola $ 100,000 za kimarekana kama Montana alivyochangia ili kusaidia kuboresha huduma kama vifaa vya matibabu kwa watoto katika Kituo cha Afya Cha Suubi kilichopo Bundondo Uganda 


EmoticonEmoticon