TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Iggy Azalea Ame Confirm Kwamba Hajui Album Yake Itatoka Lini

May 24 Label iliyopo chini ya Iggy Azalea, Def Jam Records pamoja na yeye wali confirm kwa Album yake ya Digital Distortion kutoka June 30 bt Iggy Azalea ameibuka tena na kusema kuwa hana taarifa kamili atadondosha Album yake lini.

Mipango yake na Lebel yake ilikuwa idondoshe Album June 2 bt wakabadilisha mawazo mpaka June 30 bt hata hivyo Iggy ameweza kufunguka katika clip ya video kwamba hana Idea itatoka lini.


EmoticonEmoticon