TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Ukweli Kuhusiana Na Tarehe Kamili Ya Kutoka Kwa Final Season Ya Game Of Throne

Kwa wale wapenzi wa Series,hii ni Good News kwako kuhusiana na Game Of Throne iliyopo chini ya kituo cha HBO.

Taarifa zilizopo zinasema kwamba final Season itaweza kuchukua muda mrefu mpaka kutoka na mpaka wakati huu Rais Wa Program wa  HBO "Casey Bloys" ameongea na Entertainment Weekly na amesema kwamba finale Season itakuwa na Episode 6 na kuna uwezekano wa kuwa hewani mwaka 2018 au 2019


EmoticonEmoticon