TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Tarehe Kamili Ya Kutoka Kwa Album Ya Dj Khaled Grateful Ipo Hapa Pamoja Na Cover

Baada ya kuchomoka ngoma tatu katika Album mpya inayotegemewa sana ya Dj Khaled Grateful,Hatimaye Tarehe kamili ya kutoka Album hiyo imekwishatoka pamoja na Cover.
Kupitia Acount ya Dj Khaled ya Instagram ameweza kutangaza ujio wa Album yake mpya ambayo itaweza kutoka June 23 na mpaka now unaweza ku pre-order kupitia Itune na kwingineko.

Ngoma tatu ambazo zimeshatoka katika hiyo Album mpaka now ni pamoja na Shinning akiwa na Beyonce & Jay Z, I'm The One akiwa na Quavo,Justin Bieber,Chance The Rapper & Lil Wayne pamoja na Ngoma waliyofanya na Drake inayoitwa To The Max

TAZAMA VIDEO


EmoticonEmoticon