Female Rapper Nicki Minaj amedhibitisha kulala nyumbani kwa hiphop staa Nas ila hawakufanya ngono…
Kwenye kipindi cha Ellen, Nicki Minaj amesema “Nas ni mtu powaa, ni mfalme wa Queens New York, mimi natokea Queens New York, ningependa pia kujiona malkia wa Queens New York, nina heshima nyingi kwake na anavutia pia“.
Ellen akauliza, umelala kwake ? na Minaj akajibu “Ndio , nimeenda kwake, niliona yeye kuja kwangu ni mapema sana, ila hatukufanya kile kitu”
Minaj pia amesema alitaka kuwa single kwa mwaka mmoja sababu anachukia wanaume kwa sasa ila labda Nas anaweza badilisha mawazo yake…
TAZAMA FULL INTERVIEW HAPA
EmoticonEmoticon