TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Mabadiliko Makubwa Na Maingizo Mapya Katika Chart Za Billboard 200 Albums

Haya ni Mabadiliko makubwa toka chart maarufu na kubwa zinazodeal na kusimamia mauzo pamoja na ngoma zilizofanya vizuri kwenye kusikilizwa.

Badiliko kubwa lililofanyika la kukamata namba moja ni msanii Bryson Tiller ambapo May 26 alitoa Album yake ya True To Self na imefanikiwa kufanya mauzo makubwa na mazuri na kupelekea kushika nafasi ya kwanza.

TAZAMA FULL LIST TOP 10
1. Bryson Tiller – True to Self – 107,000
2. Kendrick Lamar – DAMN. – 84,000
3. The Beatles – Sgt. Pepper’s Lonely Hearts Club Band – 75,000
4. Drake – More Life – 50,000
5. Lil Yachty – Teenage Emotions – 46,000
6. Ed Sheeran – ÷ – 40,000
7. Bruno Mars – 24K Magic – 38,000
8. Chris Stapleton – From a Room: Volume 1 – 38,000
9. Various – Summer Latin Hits 2017 – 37,000
10. Harry Styles – Harry Styles – 36,000



EmoticonEmoticon