Baada ya kuingoje kwa muda Album ya kuimba ya Young Thug ambayo Drake amekula shavu kama Executive Producer,Hatimaye Young Thug amefikia kutaja tarehe kamili ya kuleta Album sokoni.
Album ya Young Thug inayokwenda kwa jina la Easy Breezy Beautiful Thugger Girls(E.B.B.T.G) inategemewa kuingia sokoni June 16 kwa mujibu wa Young Thug pamoja na Producer wake via Twitter
16th— Young Thug ひ (@youngthug) June 9, 2017
Tweet Ya Producer wa Young Thug Keenon
EBBTG June 16th ☔️— Keenon (@Keenon) June 9, 2017
EmoticonEmoticon