TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Album Ya Eminem Inategemewa Kuingia Sokoni Tarehe Hii Hapa

Baada ya tetesi kusemekana kwamba Album ya Rivival ya Eminem itandondoka Last Week Nov 17 na nothing was Happened,Right kuna tarehe kamili ya mzigo huo kudondoka sokoni.

Kwa mujibu wa mtandao wa HITS Daily Double umeripoti kwamba Album hiyo inategemewa kuingia sokoni Dec 8.

Ngoma ambayo ipo Out inayopatikana katika Album ya Rivival ni Walk On Water ambayo yupo na Beyonce 


EmoticonEmoticon