A$AP Rocky crowns himself the G.O.A.T.
Akiwa katika shoo ya “Rap Caviar Live” huko New York siku ya J4 Nov 21 Rapper Asap rocky aliwashukuru mashabiki wote waliofika katika shoo yake na kujimwagia baadhi ya sifa ambazo zilitokewa kupingwa na baadhi ya mashabiki bt huku wengine wakiona analolisema ni la kweli.
Asap alisema,“I’m the greatest fuckin’ artist of all time,Nimeshampikia Kanye kitu, I’m the greatest contemporary artist of all time, Renaissance, contemporary, all that. I need y’all ni**as to know. All this little razzle dazzle bum-ass shit going on, but Flacko season ’bout to drop real soon.”
ASAP Rocky says he's the greatest artist of all time pic.twitter.com/xxlXRqxf6i— Rap-Hub (@RapHubDaily) November 22, 2017
EmoticonEmoticon