TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Tarehe Kamili Ya Culture 2 ya Migos Kuingia Sokoni

After Culture 1 kufanya powa sokoni mwanzoni mwa mwaka 2017 na Migos kuipigia promo Culture 2,Right now muda kamili wa mzigo kuingia sokoni tayari umeshajulikana.

Kwa Mujibu wa Gazeti la New York Times umeripoti kwamba Kundi hilo Bora linategemea kudondosha mzigo wao baada ya mwaka kuisha January.


EmoticonEmoticon