Baada ya ku cover majarida zaidi ya mawili kwa mwezi mmoja,Rappe Kendrick Lamar Right now kuna Headlines zao pamoja na Swae Lee.
Wawili hao wameonekana studio pamoja wakitengeneza something bt Swae Lee ameamua ku share kupitia account yake ya Instagram kwa kuandika,"Black Mamba 🦍"
EmoticonEmoticon