TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Lil Wayne Ameconfirm Taarifa Za Hizi Kwa Mashabiki Zake

Baaada ya Cortez Manager wa Lil Wayne kutangaza ujio wa Project ya Weezy D6 ndani ya huu mwezi,Weezy mwenyewe amefunguka kuhusiana na hilo bt hajaconfirm kama itadondoka ndani ya mwezi huu.

Kupitia account ya Weezy  ya Instagram ameandika, “Happy Thanksgiving,I’m so thankful for all my fans for standing by me while I’m enduring this fight with this label. I ain’t shit without y’all! D6 is coming y’all way soon! Thank You.

Akimaanisha kuwashukuru mashabiki zake waliosimama akiwa katika kipindi kigumu cha kupigana na Lebo yake na isingekuwa hivyo bila nyie,Huku akiongezea kwamba Project yake ya D6itakuja karibuni bt hajasema ni lini.

STORY KWA NJIA YA PICHA NA SAUTI


EmoticonEmoticon