TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Taylor Swift Aitoa Despacito Katika Chart Kubwa Za Billboard

Tylor Swift is Back.

Mwanadada Tylor Swift amefanikiwa kuitoa ngoma iliyovunja record kwa mwaka huu katika chart kubwa za Billboard Despacito iliyokuwa imekaa katika chart za Billboard Hot 100 kwa muda wa Week 17 mfululizo.

Mwanadada Tylor Swift amefanikiwa kumtoa Fonsi kwa ngoma yake ya Look What You Made Me Do ambayo imefanikiwa kuwa ngoma iliyofanya vizuri na ya 1 kwa mwaka 2017 kuvunja record ya ngoma za wanamuziki wa kike kusikilizwa sana ndani ya week ya kwanza.

Ngoma imefanikiwa kufanya vizuri na kuongoza kwa kushika nafasi ya 1 kwenye mauzo ya  Digitali(Digital Song Sales) na video yake kuwa video iliyotazamwa sana ndani ya masaa 24 ya kwanza baada ya kutoka.

Kwa week ya kwanza ilisikilizwa na watu 84.4 million U.S. streams according to Nielsen Music bt kwa mauzo ya Downloads ilifanikiwa kuuza 353,000 downloads kwa week ya kwanza ambayo iliisha Aug 31.

Kwa Downloads imevunja record ya mwaka ambayo ilikuwa imeshikiliwa na ngoma ya shape of You Ya Ed Sheeran  ambayo ilikuwa imeuza 240,000-download.

Despacito Imefanikiwa kushika Nafasi ya Pili.Tazama full List Hapo chini





EmoticonEmoticon