TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Record Kubwa Aliyoiweka Wizkid Kwa Ngoma Zake

Msanii Wizkid nyota yake inazidi kuendelea kung'aa huku akiupeleka muziki wa Africa katika Level za kimataifa.

Akiwa katika harakati zake kwa mara ya kwanza kupangwa katika tuzo za MOBO na Untouchable stars kwa mwaka 2017,Right now amefanikiwa kuvunja record katika mtandao wa Spotify kuwa artist aliyesikilizwa zaidi katika muziki aina ya Afrobeats akiwa na Total Streams 136 Million

Top 10 ya ngoma zake zilizofanya vizuri kwa kusikilizwa sana unaweza kuzitazama hapo chini.


Related Posts


EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng
:lv