Baada ya Safaree kuongea kuhusiana na crew ya Meek Mill kumshambulia na kumpiga,Hatimaye ni Time ya Meek Mill kuongea ilikuwaje kuhusiana na lile tukio.
Kupitia mtandao wa TMZ uliweza ku break story baada ya kumuuliza Meek kuhusiana na hilo na Meek alifunguka na kusema kuwa hakujua kwamba hata yeye angeusishwa katika hilo tukio na aliendelea kusema kuwa "Mimi ni Don(Tajiri/boss) na hata sipiganagi na hata sijui imekuwaje wakatuchanganya na tukio la kipuuzi kama hilo"
EmoticonEmoticon