Kupitia TMZ wameripoti kwamba taarifa walizozipata kwa mtu wa karibu ni kwamba wawili hao wameachana katika mahusiano yao yaliyokuwa yanaendelea toka May 2017.
Taarifa hizo pia zimeeleza post za Nicki Minaj katika picha zilizokuwa zinaonyesha kwamba ana ujauzito sio za kweli,Nicki hana ujauzito wowote.
Kwa upande wao kila mmoja anaendelea na mambo yake ambapo Nicki anafwatilia mambo yake ya biashara nje ya muziki,huku Nas akiwa ana focusing on his record label na staff nyingine
Chanzo kimeeleza hakuna maongezi mabaya waliyotupiana bt kwa upande mwingine hawatakuwa wakitoka pamoja kama marafiki tena
EmoticonEmoticon