TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Chris Brown Aukaribisha Mwaka 2018 Na Tattoo Mpya Kichwani (PICHA)

Style nyingine ya msanii Chris Brown kuukaribisha mwaka na Tattoo mpya kichwani mwake baada ya ile ya kipindi cha nyuma ambayo inakaa kisogoni.
Right now Breezy amechora Tattoo ya Sub-Zero wa Mortal Combat kwa upande wa pembeni wa Kichwa chake.


EmoticonEmoticon