TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Justin Timberlake Atoa Taarifa Hii Ya Muhimu Kwa Shabiki Yake (VIDEO)

Justin Timberlake is back


Since 2013 alipoachia LP ya The 20/20 Experience – 2 of 2 Right now Justin Timberlake ametangaza ujio mpya wa Album yake kwa mashabiki inayojulikana kwa jina la Man Of The Woods.


Kupitia kipande cha video anasema kwamba,Album hiyo ni Album ambayo sijawahi kuiandika toka hapo awali mpaka hapa nilipo,Anasema,"This album is really inspired by my son, my wife, my family, but more so than any other album I’ve ever written, where I’m from,It’s personal. 




Album ya Man Of The Woods inategemewa kuingia sokoni Tarehe 2 February 2018


EmoticonEmoticon