Video ya msanii wa Nigeria Wizkid
akiwa katika Club moja huko Lagos akionekana wakishare lips na mtoto wa kike ambaye hakujulikana jina lake ni nani,imezua maswali kwa mashabiki wake na baadhi ya watu wanaomjua cs imesemekana kwamba kulikuwa hakuna ukaribu kati yao wawili kipindi cha nyuma.Tazama video hapa
EmoticonEmoticon