TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Wizkid, Beyonce, Eminem The Weeknd Wamechaguliwa Ku Perfome Coachella 2018.Tazama Full List

After Last Year Beyonce ku mis coachella kwaajili ya ujauzito na Lady Gaga kuchukua nafasi yake,
Right now Queen B amerudi katika Kiti chake kwa kupata nafasi nyingine ya ku perfome jukwaani kuanzia April 14. 

Headlines za kufungua Perfomance za siku zimewaangukia The Weeknd April 13,Beyonce April 14 ambapo katika list ya Beyonce yupo Wizkid humo ndani kwenye Perfomance bt List ya April 15 ameshikilia Eminem.

Wizkid amepata shavu kwa mara ya kwanza kuchaguliwa ku Perfome na mastaa wazito na wakubwa wenye majina katika Coachella 2018

TAZAMA FULL LIST 


EmoticonEmoticon