TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Wasanii 7 Waliotajwa Na CNN Wanaoimba Kuikosoa Serikali Baada Ya Uongozi Wa Donald Trump

2017 American Rappers pamoja na mjumuiko mkubwa wa wasanii,imeonekana nyimbo za wengi wao zimeikosoa serikali tofauti na hapo nyuma na hiyo ikiwa inaletwa na uongozi mpya wa Donald Trump baada ya kuingia madarakani.

Shirika la Utangazaji la CNN limetoa List ya wasanii ambao wameongoza kampeni hizo kwenye ngoma zao ambazo zinapatikana kwenye album na kwa upande pia wa Freestyle akiwemo Eminem kwenye Cypher ya BET Hip Hop 2017 ambayo ilibreak Internet

1) Jay-Z 
4) Rapsody
5) Joey Bada$$
6) J. Cole
7) Vic Mensa 


EmoticonEmoticon