TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Lil Wayne Afunguliwa Mashtaka Kwa Kosa Hili

Rapper Lil Wayne amefunguliwa mashtaka yanayohusiana na ubaguzi wa rangi baada ya mlalamikaji kusema amepigwa ngumi ya uso na rapa huyu na kutamkiwa maneno ya kibaguzi.
Kupitia Mtandao Wa TMZ umeripoti Mlalamikaji ni Mlinzi wa Club ya Hyde mjini California anasema mnamo June 2016 Lil Wayne na kundi lake walikuwepo kwenye club hio kwaajili ya After Party ya BET Music Awards na ndio tukio hilo lilipotokea.
Mlinzi huyu anasema Lil Wayne alinirushia glasi ya pombe usoni na kusema maneno ya kibaguzi ambayo ni “Fuck you white boy! Neno WHITE BOY yamepelekea kesi hii kuhusishwa na Ubaguzi wa Rangi cs hata mtu mweusi kumwita Nigga upande wa kule pia inachukuliwa the same
Camp ya Lil Wayne imekanusha taarifa hizi huku askari huyu akidai fidia ya dola $25,000 za Kimarekani.


EmoticonEmoticon