TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Ngoma Zitakazopatikana Katika Album Ya Eminem Revi val Ndani Ya Mwaka Huu Sokoni

Rapper Eminem ameconfirm muda wa kutoka kwa Album yake ya Revival na tracklist right now ameshaziachia.

Kupitia account yake ya Twitter ameweka tracklist na caption ambayo aliandika, “12/15”Kumaanisha kwamba Album hiyo ita land sokoni December 15 kabla ya mwaka kuisha.
Baadhi ya wasanii waliopata shavu katika Revival Album ni pamoja na Beyonce ambaye ngoma yao ipo out right now(Walk On Water), Phresher, Ed Sheeran, Alicia Keys, Ambassadors, Skylar Grey, Kehlan pamoja na Pink. 


EmoticonEmoticon