TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Time Ya Wizkid Ku Shine Kwenye Album Mpya Ya Jeezy

Last Week baada ya Jeezy kutangaza ku dondosha Album ndani ya mwezi huu kabla ya mwaka kuisha,Right now ametoa tracklist zinazopatikana kwenye Album yake ya Pressure.

Msanii toka Nigeria Wizkid nyota yake inazidi kuwaka kwani ni mmoja kati ya wasanii waliopata nafasi ya kushiriki katika Album hiyo kwenye ngoma The Life wakiwa pamoja na Trey Songz.

Wasanii wengine waliopata shavu katika Album ya Jeezy ni pamoja na 2 Chainz, Puff Daddy, Kodak Black, YG, Tory Lanez, Rick Ross, J Cole, Kendrick Lamar pamoja na Tee Grizzley.   


EmoticonEmoticon