TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Havana Girl Camila Cobello Ameileta Barua Hii Kwako

Baada ya kufanya powa katika chart za Billboard kwa kukamata nafasi ya 2 kwa ngoma yake ya Havana na kukamata nafasi ya kwanza kwenye upande wa mauzo(Sales Data)Right now Camilaameileta barua kwako wewe shabiki.

Kupitia account yake ya Instagram baadhi ya aliyoandika ni “Mpaka kwa wakati huu Album yangu imeshakuwa tayari,na muda huu nasoma mapigo ya moyo wangu,Nashukuru sana kwa kuwa mvumilivu kwa huu mwaka,Album yangu itakwenda kupatikana kwa Order Alhamis hii na nitaachia ngoma 2,moja inaitwa Never Be The Same na nyingine ni Real Friend.Itakuwa mikononi mwenu January 12.Nawapenda Sana,Camila” 
      
to my Camilizers.... my debut album is finally finished. now i'm trying to steady my heartbeat!!!!!!! thank you for being so patient with me this year, i can't wait for you to hear what has been the soundtrack to the past year of my life... all of these songs have special memories behind them, and i'm not gonna lie, it feels emotional letting them go, feels like the end of a chapter... i decided to call it by my name, because this is where this chapter in my life ended. it started with somebody else's story, it ended with me finding my way back to myself. my album is gonna be available for pre order this Thursday, and i'm putting out two instant grat tracks with it.... one is called never be the same, and one is called real friends. it's in your hands January 12 🦋 love you guys so much, Camila
A post shared by camila (@camila_cabello) on


EmoticonEmoticon