TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Lil Wayne Ametoa Tarehe Ya Kudondosha Project Ya Dedication (D6) Kabla Ya Mwaka Kuisha.Tazama Siku Hapa

It’s about to be a Weezy Christmas.

Rapper Lil Wayne ameconfirm muda kamili wa kuitoa project yake ya Dedication 6 (D6)Ambayo ilikuwa inangojewa na mashabiki kwa muda mrefu.

Kupitia account yake ya Twitter ameatach Cover Art na ameandika,"It’s time! Sign up for updates and music before drop date! To My fans, I do this for y’all! #D6 MERRY CHRISTMAS"

Kumaanisha kwamba project ya D6 ita Land siku ya X-Mass,So Keep In Touch 


EmoticonEmoticon