TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Birthday Ya Kwanza Ya Mtoto Wa Dj Khaled Moto...P Diddy Ame Host Shoo Nzima (PICHA)

It's All About Popping Bottles Of Milk 

Baada ya kufunguka kwa Jimmy Kimmel kuhusiana na Birthday ya mwanaye ambayo imefanyika October 21,Right now Hedlines na picha ni kwamba Diddy The Top Cash King Man amefanikiwa ku host First Birthday Party

Asahd Khaled amezaliwa October 23 bt mpaka right now ametimiza umri wa mwaka 1 na Birthday yake ilifanyika huko Miami kwenye Night Club moja October 21 na hiyo ni Birthday ya 1 bt Birthday kamili ni October 23 On Monday.

Keep In-Touch with Mullastar kwa Birthday ya Pili ambayo itafanyika jumatatu October 23 







EmoticonEmoticon