TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Tekno & Wizkid Lingine Jipya Laibuka (VIDEO)

Baada ya Last Week kumaliza tofauti zao,Wawili hao wameamua kufanya jambo zuri kwaajili ya mashabiki na itakuwa goodnews kwa mashabiki wa Afro Pop.

Kupitia Account ya Tekno ya kijamii ameweka video akiwa saluni ananyoa huku akisikiliza collabo yake waliyofanya na Wizkid soon baada ya kumaliza tofauti bt hakuna jina kamili la ngoma hiyo ya pamoja.

Isikilize audio na tazama video hapo chini.Enjoy


EmoticonEmoticon