TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Lil Wayne Kuifunga Label Ya Young Money (VIDEO)

Rapper Lil Wayne amefunguka kuhusiana na kuifunga label ya Young Money endapo haitashikiliwa vema na Birdman

Kwa mujibu wa mtandao wa The Blast umetoa ripoti hizo ambapo Lil Wayne ana claim kwamba yeye ndyo aliweza kuleta mafanikio katika Label hiyo kwa kuwaleta mastaa kama Drake na Nicki Minaj na mpaka wakati huu ameshapeleka malalamiko kwa Judge na kujaza Legal documents.

Kwa upande wa Birdman ame claim kwamba Weezy hana haki ya kuifunga Label hiyo kwasababu bado anaomkataba ndani ya Kampuni.

But Birdman pia liweka Clear kwamba hakuna mtu yeyote anayeweza ku take over au kufuta Label hiyo.

KAMA ULIMIS BIRDMAN AWATOLEA POVU MASHABIKI WA LIL WAYNE


EmoticonEmoticon