TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

2 Chainz Kufanya Unyama Huu Kwa Mara Ya 2 Ndani Ya Huu Mwaka (VIDEO)

It's only been four months toka 2 Chainz adondoshe Album yake ya Pretty Girls Like Trap Music ambayo pia ilifanya vizuri bt right now ameamua kufanya jambo kubwa jingine kabla mwaka haujaisha.

Kupitia account yake ya Instagram 2 Chain ameandika,"New album on the way, I'm farther than I thought I was," he wrote on Instagram. "Naw I'm lying I knew had some shit brewing #nocap #drenchGOD."

Kuna uwezekano wa Album hiyo kudondoka ndani ya mwaka huu before kukata.

KAMA ULIMIS STORY YA TYGA


EmoticonEmoticon