Dj Khaled amefunguka kupitia Jimmy Kimmel Live kuhusiana na Birthday ya Asahd mwanaye ambaye right now anategemea kufikisha umri wa mwaka 1 siku ya October 23 na wamepanga kumfanyia Birthday Party kubwa yeye pamoja na Diddy.
Kupitia mahojiano hayo alifunguka na kusema kuwa,"Tutafanya Party kubwa ya Asahd na itakuwa kubwa sana,Puffy Daddy pia atahusika bt mimi na Diddy tumejadiliana tufanye jambo kubwa kwa Asahd."
Asahd ni mtoto wa kwanza wa Dj Khaled na mpaka right now ameshafanya kazi kubwa ikiwemo kuwa Executive Producer wa Album ya Grateful ambayo ilileta mafanikio makubwa sana kwa Dj Khaled pamoja na Kukamata nafasi ya 1 katika chart za Billboard 200 na Hot 100 upande wa single kwa ngoma ya I'm The One
TAZAMA VIDEO HAPO CHINI
EmoticonEmoticon