It was only a matter of time Cardi B kupata colaboration na Female Rapper Remy Ma na amefunguka kuhusiana na kuna jambo wanalolifanyia kazi.
Kupitia VH1 Facebook Live event, Remy Ma alifunguka kuhusiana na kuongea pamoja na Cardi B kuhusiana na Collaboration,
"Kiukweli tuliongea kuhusu hilo last night na alikuwa anahitaji kunichukua nifanye naye ngoma"Alisema Remy
TAZAMA VIDEO AKIFUNGUKA
EmoticonEmoticon