TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Alichokiongea Safaree Baada Ya Kipigo Toka Kwa Crew Ya Meek Mill.(Video)

June 23 safaree alijikuta akiambulia kipigo toka kwa Crew ya Meek Mill huko LA akiwa amehudhuria katika Party ya Dj Khaled BET Weekend 

TAZAMA TUKIO ZIMA LA KIPIGO
Safaree ambaye ni Ex wa Nicki Minaj kabla ya kuwa na Meek Mill aliweza kurusha maneno ya matusi kwa Meek baada ya Crew hiyo kumshambulia. 

 Baada ya kipigo kizima Safaree aliweza ku share video na kufunguka yake kuhusiana na Meek Mill kwa kumwambia,Meek, you are the biggest pussy on this planet,” he added. “You saw me, you ain’t do shit, you had your ni**as jump me. One-on-one you can’t fuck with me, so that’s why you had to do that,All white,I’m still clean and I still got all my shit on…You move like a bitch. You act like you the hardest ni**a on this planet. You are not hard, my ni**a. You roll 20-deep everywhere because you’re scared to death. You a bitch.


EmoticonEmoticon