TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Huyu Ndyo Msanii Atakeyefungua Shoo Ya Tuzo Za BET June 25

Hatimaye tuzo za BET zinakaribia ambapo zitafanyika LA katika ukumbi wa Microsoft na ku hostiwa na mwanadada Leslie Jones na Tuzo hizo zinategemewa kugawanywa June 25 Jumapili.

Kati ya wasanii wote waliochaguliwa ku perfome kuna msanii mmoja aliyetajwa kufungua shoo hiyo ambaye ni Bruno Mars aliyefanya powa na 24 K Magic.

Alithibitisha hilo Host wa shoo hiyo mwanadada Leslie Jones katika mtandao wake wa Twitter kwa kuandika,"I told y’all we would start our wonderful life together, that’s why @BrunoMars and I are opening up the 2017 #BETAwards@BETAwards"


EmoticonEmoticon