TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Rapper Future Ameachia Emoji Pack Zake(FutureMoji

Rapper Future now ameingia ubia wa kuwa familia moja na AppMoji kwaajili ya kuachia Emoji zake ambazo zimepewa jina la FutureMoji.

Eliver Camolo Founder/CEO Of Moji alisema,"Tumefurahi sana kuungana na Future katika familia yetu na kutoa Emoji mpya ambazo sasahv zinafanya kazi kila mahali.Kwa wale watakao nunua Emoj hizi watakuwa na uwezo wa kujielezea kama Future kupitia mitandao ya kijamii kama Instagram & Snapchart" 

FutureMoji Now zinapatikana Itune & pamoja na Google Play kwa cost ya Paper Dola $1.99 ambazo kwa Tanzania ni kama sh.Elfu 4,454.
 Tazama FutureMoji Below












EmoticonEmoticon