TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Alichokiongea RayVanny Baada Ya Kupokea Tuzo & Wizkid Naye Amekuja Na Tuzo Africa Toka BET.

Msanii Toka Nigeria naye amefanya yake na kuwafurahisha mashabiki zake baada ya kuja na tuzo toka BET zilizokuwa zinafanyika LA katika ukumbi wa Microsoft.

Wizkid amepata Tuzo ya BEST INTERNATIONAL ACT:AFRICA ambaye alikuwa na wapinzani wake kama, TeknoDavidoMr Eazi, StonebwoyNasty CAKA na Babes Wodumo.
Bt kumekuwa na maswali mengi juu ya picha ya Wizkid & Future waliyopiga mitandaoni na ku share cs imeonekana kama kuna collabo kubwa kati yao.Let's Wait & See

Pia Rayvanny toka Tanzania naye aliweza kupokea Tuzo yake na utaweza kusikiliza video hapo chini alichokiongea baada ya kupokea Tuzo hiyo.

Tazama video hapo chini


EmoticonEmoticon