TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Remy Ma Ampiku Nicki Minaj Katika Tuzo Za BET.Tazama Alichokiandika Pia

Baada ya ushindani mkubwa kati ya Nicki & Remy na mashabiki kuachia kazi BET kuamua hilo,Hatimaye Queen kamili amepatikana.

Katika tuzo za BET zilizofanyika Jumapili June 25 katika category ya Best Female Hip Hop Artist Remy Ma ameibuka mshindi na walikuwa katika category moja na Nicki huku akiambulia patupu.

Nicki Minaj hakuhudhuria shoo hizo kutokana na shoo ya NBA ambayo inafanyika June 26 na ndyo aliyoahidi kwenda katika mwezi June

Tazama hapo chini alichoandika Remy Ma baada ya ushindi


EmoticonEmoticon