Hitmaker wa Congratulations na Rockstar Post Malone amefanikiwa kuvunja record katika mtandao wa kununua na kusikiliza muziki wa Itune na ngoma yake ya Rockstar.
Ngoma hiyo aliyomshirikisha 21 Savage ambayo pia imefanikiwa kuingia katika chart za Billboard Hot 100 na kukamata nafasi ya 2,imevunja record katika mtandao wa Itune kwa week ya kwanza kusikilizwa zaidi ya mara million 25 na kuitoa ngoma ya Dj Khaled I'm The One ambayo ilikuwa imeshikilia nafasi ya juu.
EmoticonEmoticon