Female Rapper Cardi B amefanikiwa kufikia mafanikio ya ndoto yake aliyokuwa akiitamani kwa muda mrefu ya kufika namba 1 katika chart za Billboard Hot 100 na kumtoa mwanadada Taylor Swift na ngoma yake ya “Look What You Made Me Do,”
Katika Suprise Party aliyoandaliwa na Atlantic Records September 25 mwanadada Cardi B alifunguka na kusema kuwa,"Yeah, bitch. I hit No. 1. What’s good?Oh my God! Thank you everybody. I am very happy. I am very honored.”Cardi B Aliwashukuru mashabiki.
Aliendelea kusema kuwa,"Sijui campuni ya muziki inafanyaje kazi bt ninavyojisikia kila mtu anayesikiliza hiyo ngoma it’s poppin,Make sure you download and stream ‘Bodak Yellow."Alimaliza cardi B huku akiimba wimbo wa Tylor Swift, "And look what you made me do, look what you made me do!”Kitendo kilichochukuliwa na wengi kama Shots kwa Taylor
Kupitia ukurasa wake wa Instagram pia aliweza kuweka video pamoja na caption ya kushukuru mashabiki kwa kuandika,"THANK YOU THANK THANK YOU ,I haven’t even showered son with all the running around😩😩😩😩I loveee you all each and everybody contributed for this .Ya made it happen for me !!!!! The number 1 WAY!!"
Kupitia mtandao wake wa Twitter pia Cardi B aliandika,"Is this real :')Son my heart is smiling Well who am I not to take J cole advice"
VIDEO YA CARDI B AKITOA SPEECH KWENYE PARTYIs this real :')Son my heart is smiling 😌Well who am I not to take J cole advice https://t.co/fRVuNbyCtw— iamcardib (@iamcardib) September 24, 2017
TAZAMA FULL LIST YA TOP 10 BILLBOARD HOT 100 KWA WEEK HII HAPA
1. Cardi B – “Bodak Yellow (Money Moves)”
2. Post Malone feat. 21 Savage – “rockstar”
3. Taylor Swift – “Look What You Made Me Do”
4. Logic feat. Alessia Cara & Khalid – “1-800-273-8255”
5. Luis Fonsi & Daddy Yankee feat. Justin Bieber – “Despacito”
6. French Montana feat. Swae Lee – “Unforgettable”
7. Imagine Dragons – “Believer”
8. Yo Gotti feat. Nicki Minaj – “Rake It Up”
9. Charlie Puth – “Attention”
10. Portugal, The Man – “Feel It Still”
EmoticonEmoticon