TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Ngoma 3 Za Bonus Katika Album Ya Jay-Z 4:44 Ndyo Hizi

Universe Music walitoa Taarifa ifikapo July 6  zitatoka Physical Copy za Album ya Jay-z 4:44 na 3 Track Bonus ambazo zinapatikana katika Album hiyo kama mashabiki walivyoomba wakati album hiyo inatoka.

Ngoma hizo 3 za Bonus zilizotoka ni Adnis, Blue’s Freestyle / We FamilyManyFacedGod Feat. James Blake

Album hiyo ya Jay-Z 4:44 itapatikana kwa njia ya CD ikiwa Complete na ngoma 13 kuanzia July 7 kupitia Amazone

JAY-Z’s 4:44 Physical Tracklist
1. “Kill Jay-Z”
2. “The Story of O.J.”
3. “Smile” Feat. Gloria Carter
4. “Caught Their Eyes” Feat. Frank Ocean
5. “4:44″
6. “Family Feud” Feat. BeyoncĂ©
7. “Bam” Feat. Damian Marley
8. “Moonlight”
9. “Marcy Me”
10. “Legacy”
11. “Adnis”
12. “Blue’s Freestyle / We Family”
13. “ManyFacedGod” Feat. James Blake



EmoticonEmoticon