TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Walichoandika Nicki Minaji,Dj Khaled,Mike Will Made It,Shemeji Quavo Na Mastaa Wengine Baada Ya Cardi B Kukamata Namba 1

Baada ya Female Rapper Cardi B kufanikiwa kukamata namba 1 katika chart za Billboard Hot 100 na kutoa speech,Right now kuna Headlines za walivyoviandika mastaa wenzake waki react kuhusiana na nafasi hiyo aliyoikamata.

Female Rapper wa 1 anayeshikilia record ya kukaa katika chart hizo kwa muda mrefu kuliko wengine Nicki Minaj ametumia ukurasa wake wa Twitter kumpongeza cardi B kwa kumuandikia,"Congratulations to a fellow NEW YAWKA on a RECORD BREAKING achievement. Bardi, this is the only thing that matters!!! Enjoy itπŸ’•πŸ’žπŸŽ€ @iamcardib"
Baadhi ya mastaa wengine walioweza kumpongeza ni Dj Khaled,Shemeji Quavo,T.I,YG,Producer Mike Will Made It,Miss Elliot,Mullastar & Wengine
A post shared by TIP (@troubleman31) on


A post shared by DJ KHALED (@djkhaled) on


EmoticonEmoticon