TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Snoop Doggy Afunguka Haya Kuhusiana Na Album Ya Jay-Z

Baada ya Album ya Jay-Z kutoka June 30 4:44 hatimaye kumekuwa na maoni ya wasanii mbalimbali akiwemo Kendrick Lamar na wengine,Hatimaye now mtu mzima Snoop ametoa comment yake kuhusiana na Album hiyo

Rapper Snoop anamsifia Jay-Z kwa kudondosha Dope album ambayo inawa inspire wasanii wengi,kwenye kipande cha video snoop amesikika akisema,"Juu ya asubuhi,napenda kumpa shout kwa Jay-Z  kwa kudondosha Bonge moja ya Album 4:44…4:44.lakini unajua mi sina TIdal bt nimeletewa,mi nipo ITUNE na sijaelewa lakini wote mtanifafanulia hilo",Snoop aliendelea kusema katika video,"Nimeenda Itune kutafuta album hii lakini sikuipata lakini rafki yangu amenitumia.Shout out kwa Jay-z amefanya tena,umeona, I ain’t no hater naipenda game hii kwa wapya na wakongwe"

Snoop aliongea mengi bt unaweza kutazama full video hapo chini


EmoticonEmoticon