TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Dj Khaled Asherehekea Mauzo Makubwa Ya Grateful Kushika Namba 1 Billboard

Baada ya wiki moja Album ya Dj Khaled Grateful kutoka,hatimaye ni Time ya kuangalia mauzo na matokeo ya watu wameipokeaje.

July 2 Billboard walitangaza album iliyofanya vizuri kimauzo na kuwa namba 1 katika Billboard 200 ambapo album hiyo kwa wiki ya kwanza imeuza kopi 149,000.

But usisahau ngoma ya inayopatikana katika Album hiyo ya I'm The One ilifikia mauzo ya Platnum May 22 na baadhi ya vichwa wanavyopatikana katika Album hiyo ni Drake, Chance The Rapper, JAY-Z, Justin Bieber, Quavo, Lil Wayne, Rihanna, Bryson Tiller, Travis Scott, Nas, Future na wengine.

Dj Khaled amesherehekea ushindi huo mkubwa wa mapokezi ya Album yake kupitia ukurasa wa Instagram kwa kuandika,Mood !!! ANOTHER ONE!!!!!! #GRATEFUL DEBUTS #1 on @billboard ! @wethebestmusic !!! @rocnation !!! @epicrecords !!! THIS WIN IS FOR MY SON ! @asahdkhaled !! I will give my thank you speech on Monday !! Let's celebrate MORE WINS!! GOD IS THE GREATEST!!! πŸ™πŸ½πŸ”‘πŸŒΊπŸ¦πŸ™πŸ½ FAN LUV ! WE DID IT!🎊 #billboard #BILLI



MABADILIKO YA CHART HIZO NI HIZI HAPA
BILLBOARD 200 TOP 10
1. DJ Khaled – Grateful – 149,000
2. Imagine Dragons – Evolve – 147,000
3. Kendrick Lamar – DAMN. – 59,000
4. Prince and the Revolution – Purple Rain – 52,000
5. 2 Chainz – Pretty Girls Like Trap Music – 43,000
6. 311 – MOSAIC – 39,000
7. Ed Sheeran – ÷ – 36,000
8. Drake – More Life – 34,000
9. Bruno Mars – 24K Magic – 32,000

10. Various – Moana – 29,000 


EmoticonEmoticon