TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

21 Savage & Amber Rose Now Wameweka Wazi Mahusiano Yao

Baada ya kipindi cha nyuma tetesi kusema kwamba wanatoka pamoja na kuonekana viwanja mbalimbali,Hatimaye full story ya kuonyesha wawili hao ni Couple ipo hapa.

21 Savage amepost video katika mtandao mmoja wa kijamii na ikaweza kunyakwa wakiwa na maongezi na amber ndani ya gari kama wapenzi wawili.

Tazama video
A post shared by DJ Akademiks (@akadmiks) on

Pia katika kurasa ya Amber rose instagram aliweka post inayosomeka pamoja na caption,"Thugs need Love too 😍" huku ikionyesha Tag kwa 21 Savage 


A post shared by Amber Rose (@amberrose) on

Post ya 21 Katika ukurasa wa Twitter ilikuwa inasomeka,"niggas really think a man expressing his feelings to a girl is soft but yall will tell da nigga who gone snitch on you u love him everyday"
21 Savage ana umri wa Miaka 24 & Amber Rose ana umri wa miaka 33 


EmoticonEmoticon